Heheee juu ya baridi, Nimeamka nikaanza kujogg mbio mbio kiasi.. Nikakumbuka
(MATHAYO 2:4....waovu watakimbia bila kukimbizwa..)
Nimerudi pole pole kwa kitanda kulala.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi vita Ni za kiroho sio za kimwili