Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati unakwenda dukani kuinunua maji ya kunywa, kitu cha mwisho ambacho watu wengi hukiangalia ni ile chupa ya maji ambayo wanataka kuinunua. Lakini wataalamu wa afya wameshauri vitu mbalimbali vya kuangali katika chupa ya maji unayotaka kuinunua.
 
Makapuni yanayotengenezwa vinywaji yanalazimika kuchapisha viambatanisho vilivyowekwa kwenye bidhaa hizo. Chupa nyingi za plastiki huwa na maneno kama PP, HDPE au HDP. Chupa hizi huwa ni salama kwa sababu huwa hizitoi sumu kwenye maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…