HDPE or HDP
Alama hizi ni salama. Maji kwenye chupa zenye alama hizi unaweza kuyanunua sababu inamaanisha ni bidhaa bora. Chupa zenye alama hizi huwa hazitoi kemikali na sumu kwenye maji.
LDPE
Chupa hizi hazina na wala hazitoi kemikali, lakini si salama kwa ajili ya utengenezaji wa chupa za plastiki. Hii huwekwa kwenye mifuko ya plastiki.
PS
Alama hii huonekana mara nyingi kwenye makasha ya kuwekea vyakula (fast food) na vikombe vya kahawa. PS inamaanisha kuwa plastiki hutoa gesi aina ya carcinogens kwenye kilichomo ndani.