Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu wakasepa hadi na comments zangu,mods sijui wana nini...

Inamana ulilala?mikwara yote ile?[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kisaikolojia maana nanuna mimi miezi 2
Wamesepa mpaka na likes zangu...Naona ni kwa vile mkuu amewakoromea masleyi kwini waliokuwa wanajiachia huko Insta.

Nilale wapi? Niliona ahadi hewa ya kisiasa nikasonya tu nikaendelea kuchemsha tangawizi yangu. Niende nikaangalie?

Ubaya tu ni kwamba mimi sinuniwi...
 
Uwe makini tu sasahivi wasije kukupa ban.

Jana walini overdose job lakini ile amri niliitii kabla siku haijaisha.
Nenda ila ujiandae kisaikolojia[emoji125] [emoji125] [emoji125] tusilaumianeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…