Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ooooh boy[emoji17][emoji17][emoji17]View attachment 685570
Washindi wa Nobel wa mwaka jana katika Medicine walilishughulikia hili kwa kina. Hiyo Biological clock inasimamia kila kitu na night shifts na ratiba za kulala zisizoeleweka zinaingilia mfumo wake na kuharibu kila kitu. Wanasema watu wanaofanya kazi za night shifts, madereva wa magari ya masafa marefu na watu wenye ratiba za kulala zisizoeleweka huwa na matatizo mengi ya kiafya hasa kuanzia miaka 50+ na hufa mapema....

Ila kwako haitakuwa hivyo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Amin[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…