Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

If I could steal one final glance
One final step
One final dance with him
I'd play a song that would never ever end,
Cause I'd love love love to
Dance with my father again.....
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
17:27
 
Meneje wa Manchester United, Jose Mourinho ameamuru kabati la kuhifadhia vifaa na jezi la mchezaji wake mpya, Alexis Shanchez lihamishwe kutoka lilipokuwa awali na kuwekwa karibu na kinda wa timu hiyo mwenye umri wa miaka 19, Marcus Rashford katika chumba cha kubadilishia nguo ndani ya United.
 
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile alimaliza uhamisho wake wa kutua Old Trafford siku ya Jumatatu ya juma lililopita katika dili ambalo limefanya Henrikh Mkhitaryan kutoka katika timu hiyo na kujiunga na Arsenal.
 

Cole bro...
Njoo uone mashairi haya...
Yanagusa moyo na kutonesha milizamu...
 
Kwa mujibu wa mtandao wa The Sun umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Mourinho ni katika kuhakikisha Sanchez anakuwa karibu na Rashford ili kumpatia uzoefu ndani na nje ya uwanja.
 
Habari kutoka ndani ya Old Trafford zinasema ni kawaida kwa meneja huyo kuwachanganya wachezaji wenye umri tofauti ili kubadilishana uzoefu hivyo Sanchez ataweza kumuweka Rashford katika hatua nyingine kisoka soka.
 
Klabu ya Arsenal imekubali kulipa kitita cha paundi milioni 55.4 kwa timu ya Borussia Dortmund ili kupata saini ya straika wao, Pierre-Emerick Aubameyang dili ambalo linaweka rekodi ndani ya timu hiyo kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa kwa kiwango kikubwa cha fedha.

Arsenal imempatia, Aubameyang mkataba wa miaka mitatu na nusu ambao atakuwa akilipwa paundi 180,000 kwa wiki wakati timu hiyo ikiwa katika harakati za kuimarisha eneo lake la ushambuliaji.
Pierre-Emerick Aubameyang akitarajiwa kutua Arsenal kwa uhamisho wa paundi milioni 55.4
 
Mtandao wa, Sport Bild umeripoti kuwa klabu ya Borussia Dortmund imeamua kumchukua straika wa Chelsea, Michy Batshuayi kuziba pengo la Aubameyang.

Dortmund ilihitaji kumsajili Giroud laki uhamisho wa Mfaransa huyo ulikwama baada ya kufuatia familia yake kumuhitaji kusalia England.

Kutua kwa Aubameyang ndani ya Arsenal kunatoa tafsiri kwa Giroud kuelekea Chelsea kwa dau la paundi milioni 35 baada ya mazungumzo ya liyofanywa na timu hiyo mwishoni mwa juma.
 
Wakati Eminem alimpo mdisi Donald Trump wakati akiwa na BET na baadaye kwenye nyimbo kadhaa katika albamu yake iitwayo Revival, Rais huyo hakumjibu mahali popote kwenye vyombo vya habari vya kijamii au vinginevyo. Lakini Trump ameonekana kukerwa sana na kile alicho kisema Jay-Z.
 
Jay alifanya mahojiano na CNN kwenye kipindi kiitwacho “The Show Jones” Jumamosi ambapo alizungumzia juu ya ndoa yake na Beyonce, nafasi yake kama baba, madaraka ya Trump na mengi zaidi. Rapa huyo hakupendezwa na maoni ya Trump ya “shithole” mapema mwezi huu ambapo alisema “kimemuumiza sana na Kila mtu anahisi hasira lakini baada ya hasira hiyo ni maumivu kwa sababu ameongelea idadi kubwa ya watu na yeye hajui tu maeneo hayo yalivyo kuwa na watu wazuri.”alisema Jay Z.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…