Hahahahaha......nitamchukulia mtu..Nagawa tiketi bure za kwenda Maiduguri.
Nipo nataka lunch by nowMsaada pls kwa Mzee wa Liver
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahah
Hakika mkuu.Mzee wa liver ameandika wa hisia kubwa sana zinaumiza kwa kweli.
Inabidi asaidiwe mapema tusipoteze mtu muhimu humu
Kweli sijamuona muda tangu janaKwanza nimemiss nyiramba girl sijui mlipelekaga wapi...
Unacheeeka, jamaa atapiga mtu hapaHahahah
Karibu mkuuNiaje..
Tupngeze ziwe tiketi mbiliHahahahaha......nitamchukulia mtu..
Na huyu mchina sijui ho chi minh... Ana mpango wa kukukwiriri, uwe na tahadhari naeMzee wa liver ameandika wa hisia kubwa sana zinaumiza kwa kweli.
Inabidi asaidiwe mapema tusipoteze mtu muhimu humu
Napenda kufurahi.......Mbona umefurahi