Natamani nikuvurugue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani huyu acha tu...
Kwema kabisa maana nimeamka na mood nzuri ajabu,sidhani kama kuna mtu/kitu kitaharibu leo.
Aje wewe?
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]na iwe hivyoBasi mood hiyo nzuri na ikadumu na ikiwezekana basi ikawe ya siku zote. Uwe na siku njema ajabu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Daaah!![emoji23][emoji23][emoji23]nimebaki mdomo wazi.
Naumwa siwezi kuchezesha magego yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji137] [emoji137] [emoji137] carba msumbufu sana...Jamaniiiii....Jeiefu sitakaa niondoke aisee...as long as Prof. Masaksafoni yumo humu. Nefaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaani leo kama atatokea wa kunivuruga namsamehe na kumuombea awe na furaha kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Natamani nikuvurugue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]