mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
UnayoyomaMuda unaenda..
Chukua like pesa baadayeLike kwanza...
Halafu karibu sana, au wewe hutaki mapesa! Nikikuunganisha utapata mahela mengi sana wewe...
Tuma 83000/= wewe nmekupunguzia hela ya kukucheki kama unafaa...
Ahsante mkuuPokea like ya blue hiyo
Ukiwa mzuri muda wote ni furaha. Pendwa upendeke, rembua, jishebedue, jimwayemwaye kwa raha zakoNapenda kufurahi.......
HahahahaHuu uzi ni wa kichochezi...
Huko unakokimbilia unaenda kuzidi kuchochea kupeana likes,
Mods fanyeni kazi yenu, msije thubutu kugusa like zetu...
Mkipigwa mkwara mara moja moja siyo mbaya...
Laikiiiiiiis powerrrrrrrrrrr!!
Well saidMatusi yabakie huko kwenye siasa
Tiketi nyingine nani apewe?Tupngeze ziwe tiketi mbili