Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nimefanya tu utafiti hata simo kwenye hiyo 80%
Embu muulize walioshinda jana ni mchezo gani
Hio mechi hata sikuiona ila kwa maeleza ya hawa watatu BAK,yego na shimba nilijikuta nacheka eti walifumba macho na kiroho kikawa kinadunda utazani mapigo ya ngoma za hukooo kwenye sherehe vijijin hahahaa
 
2. Mazungumzo.

Hapa naomba nieleweke kuwa unachokizungumza kinaweza kukujengea heshima au kukubomolea heshima. Kauli zisizo na busara zitakufanya udharaulike kwa kila mtu. Uropokaji usiokuwa na mantiki huchangia kuporomosha heshima yako hasa kama utakuwa muongeaji zaidi. Biblia inasema penye wingi wa maneno hapakosi uovu.
 
 
3. Utendaji wako wa Kazi.

Ndugu zangu, siku zote heshima ya mtu ni kazi. Watu wengi hawapendi kufanya kazi kwa bidii huku wengine wakijiendekeza kwa tabia ya kuombaomba, jambo hilo halifai kwa vile huchangia kubomoa heshima yako mbele ya jamii. Fanya kazi usiishi bila kujishughulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…