Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jamaniiii[emoji7][emoji7][emoji9][emoji9][emoji9][emoji10]Vile unafanyaga mapigo ya moyo wangu ya dunde vyema.kabisa
Duniani Kote au????Kawaida watoto 1,800 huzaliwa kila siku lakini idadi hii hupanda hadi 1,974 siku yenye kuzaliwa watoto wengi zaidi ambayo ni Septemba 26.
4. Kutotimiza ahadi.
Kama una tabia za kuahidi mambo halafu unashindwa kuyatekeleza, basi unajiweka katika nafasi mbaya ya kutunza heshima yako katika jamii unayoishi. Bora ukwepe kutoa ahadi kuliko kuahidi na kutotimiza.
Kule ulayaDuniani Kote au????
Na mi napenda unavyo care sana.Me sipendi upate shida bhana
5. Sifa zisizo na maana.
Nakumbuka msemo mmoja kutoka kwa mwandishi mwandamizi aliyekuwa mtaalamu wa falsafa za maisha, marehemu Adolf Balingilaki, ambao unasema kwamba: “Ukitafuta heshima kwa gharama ya juu, basi utalipwa dharau kwa bei nafuu.”