myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Leo umenishangaza!!! Huwa unakuwa wa kwanza Ku teki ize!! Tena tunajua huu ni utani..kumbe uko siriazi na jirani mpaka imekuwa hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji9][emoji11][emoji8][emoji9][emoji11]. Nilikwambia lakini enzi zileeee hukuniamini. Love hurts...!!!
[emoji106][emoji106][emoji106]No big deal sir...Never personal. Just don't take my comment personal either. Just needed a moment to breath as you can be suffocating sometimes with your brutal/intruding sarcasm. Vicheko vinaendelea kama kawa. Sorry kama umekwazika...[emoji112][emoji112][emoji112]
Sanaaaaaa. Ngoja niende kwenye dinner yangu. Will check you later...after your neighbor goes to bed [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefurahi eeh?
Ikifungwa nitaumwa kwakweli[emoji23][emoji23]maana maombolezo yake yatakuwa makali mnoo
[emoji3][emoji3][emoji3]Sanaaaaaa. Ngoja niende kwenye dinner yangu. Will check you later...after your neighbor goes to bed [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sanaaaaaa. Ngoja niende kwenye dinner yangu. Will check you later...after your neighbor goes to bed [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicompliketi mambo mkuu. Nothing is serious here. Nimeshakuomba msamaha hapo juu. Na hapa nasema tena SAMAHANI kama nimekukwaza.Leo umenishangaza!!! Huwa unakuwa wa kwanza Ku teki ize!! Tena tunajua huu ni utani..kumbe uko siriazi na jirani mpaka imekuwa hivyo.
.amani na umoja wetu udumu
Nipelekee salam...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya leo kali
Kumbe mida tayari
Nenda mwaya,acha nikatafute chimbo jingine miye
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Hamna neno mkuu...wote tunataniana tu..[emoji106][emoji106]Usicompliketi mambo mkuu. Nothing is serious here. Nimeshakuomba msamaha hapo juu. Na hapa nasema tena SAMAHANI kama nimekukwaza.
Tuendelee na vicheko vyetu na utani wetu. Kama unavyohubiri kila siku yes umoja wetu udumu. Sometimes utani tu unazidi, emotions kidogo za hapa na pale...NO BIG DEAL. OK?