myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safi sana. Kila mmoja jana alifurahi kwa kweli. Naangalia replay hapa kwa raha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Unajua watu ni kama wametua mzigo fulani hivi. Hawa cheaters walishawachosha, yaani ni full shangwe!
Wera weraaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooooh Jesus. Sala zako zimekubali. Dinner cancelled [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] janaPimbi umejua kupika ugali lini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe huyo pimbi wako hajui kusonga ugali? [emoji1][emoji1]
Maana ule ugali niliokutana nap kwa upishi wako last time sitamani Hata kusema itakuwa Mr Google alikuwa chief[emoji125] [emoji125] [emoji125] jana
Kila siku alikuwa anakimbia kupika ugali ananiachiaKumbe huyo pimbi wako hajui kusonga ugali? [emoji1][emoji1]
Nitamwaga kuku wachache kwenye Mchele mwingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimsikize kichwa bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimsikize kichwa bhana
[emoji23][emoji23][emoji23]Maana ule ugali niliokutana nap kwa upishi wako last time sitamani Hata kusema itakuwa Mr Google alikuwa chief
Acha kuniharibia basiKila siku alikuwa anakimbia kupika ugali ananiachia
Usiniharibie bhana pimbi vipiNitamwaga kuku wachache kwenye Mchele mwingi
Nakusubiri[emoji4] [emoji4]Basi poa, nakuja! [emoji1][emoji1]
Unadhani nimesahau [emoji6] [emoji6] [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unajua kama google ndo alipika eeh
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Usiniharibie bhana pimbi vipi