Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole,bado nakuombea utakuwa sawa soon.

Ndo kulikuwa kunakucha vile,sasa jua linazama
Asante shemeji. U nguzo imara kwa wengi. Mola Atakulipa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Natumaini kutapambazuka muda si mrefu. Japo kutakuwa na ukungu lakini jua hatimaye litaangaza, ukungu utaisha na maisha yataendelea. Mungu Yupo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yaani nahisi tu kama nitasoma haya maneno muda si mrefu ujao...

"On my way..."

Love you guys...Mnarahisisha sana maisha yangu. Heri mngejua jinsi utani huu ulivyo huishi...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

It’s already past midnight. Vipi umekata? [emoji1][emoji1]
 
Amin shem[emoji120][emoji120][emoji120]

Kumesha pambazuka tayari nakaribia kwenda kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…