Tungi linainuaje maisha ya raia sasa wakati asilimia zaidi 80% ya bajeti inaenda jeshini ?? Nakumbuka miaka ya 1945 Marekani ilipata mapesa saana Raisi akaamu kupandisha kodi kwenye bidhaa kma pombe ili kuleta adabu kwenye matumizi.....Kwa kawaida, vyombo vya habari Korea kaskazini vinaitangaza pombe hiyo kama ufanisi katika mpango wa Kim Jong-un kuinusha viwango vya maisha katika nchi hiyo ya kikomyunisti, vikisema ni kutokana na ' jitihada za muda wote"kuyafanya maisha "kuwa ya raha zaidi kwa raia".
Marekani huwa anafanyia Parade kupitia Hollywood. Sasa na yale masilaha lile litakuwa gwaride la kufa mtu.....
Hata afanyeje hatafikia magwaride maridadi ajabu ambayo dogo wa kiduku huwa anaandaa...Rais wa Marekani Donald Trump anaripotiwa kuwauliza maafisa wakuu wa jeshi kuandaa gwaride kubwa zaidi nchini humo kuonyesha nguvu zake za kijeshi.
Afisa anayehusika na masuala ya habari katika ikulu ya white house, Sarah Sanders amesema rais Trump amewaagiza wakuu wa jeshi kupanga hafla hiyo ambayo raia wa taifa hilo watatoa shukrani na heshima zao kwa wanajeshi wao.