Hii ina apply kwa wakazi wa Njombe na Iringa ?
Daaah, sasa Njombe Baridi lake ni balaa sanaa.Ndio yale maji ya moto mpaka kuunguza ngozi hayafai iwe na umoto wa wastan
Mmh kazi wanayo. Maana huku nilipo mvua ikinyesha kidogo tu kale ka ubaridi matesoDaaah, sasa Njombe Baridi lake ni balaa sanaa.
Miezi ya baridi ukiacha ndoo ya maji nje usiku, asubuhi unaikuta ina barafu kwa juu...