WeeeWala...
Mtoto wa kiume hawi na msambwanda hata siku moja. Wa kike hapo sawa kama Sanchoka na mamake....
IndeedRIP......
Kwema bro. Nabung'aa bung'aa hapa tu kwenye likes...Kwema sijui kwa upande wako Bro
Vijana wa kiume na misambwanda mmmm sijaona aisee..Weee
Acha hiyo kabisa!
Nimekutana na vijana wanasukuma misambwanda kama wendawazimu
Acha hiyo bana genes hazichagui
Umeshindwa kabisa kumsahau...I have been around the world
I have seen a lot of girls
But....
You know what!Vijana wa kiume na misambwanda mmmm sijaona aisee..
Na hao si ajabu utakuta mama zao ni vimbaumbau tena flati skrini kabisaaa...
Wanayarithi kweli kweliVijana wa kiume na misambwanda mmmm sijaona aisee..
Na hao si ajabu utakuta mama zao ni vimbaumbau tena flati skrini kabisaaa...