Kwa baadhi ya watu, ugonjwa husambaa mwilini ingawa kuna baadhi ambao huweza kuchukua muda mrefu kusambaa mwilini.
“ugonjwa huu hautabiriki, leo unaweza kuja na mabaka machache lakini kesho ukasambaa. Unaweza kuwa na baka upande mmoja lakini baada ya siku chache ukajikuta una mabaka karibu mwili mzima,” anasema Dk Ladha.