Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivyo basi unapoona mtoto wako anaharisha mara kwa mara wakati meno yanaota hakikisha kuwa anatafuna vitu visafi,anywe maji mengi na apewe vyakula vitakavyopunguza hali hii. Hali hii ikiendelea mpeleke mtoto kwenye kituo cha afya haraka kupatiwa matibabu,meno hayasabishi mtoto kuharisha.
 
Msaada wa haraka kwa aliyemwagiwa chemikali machoni.

Aina hatarishi za kemikali kwenye macho zimegawanyika katika makundi makuu mawili, nazo ni; alkali mf. Baking powder, sabuni za kuogea na kusafisha masinki, n.k kundi la pili ni tindikali(acid) mf. Vinegar

MUATHIRIKA AFANYE YAFUATAYO;

1. Safisha macho kwa maji mengi ya kutiririka kwa muda usiopungua dakika 30. Mf, kimbilia bafuni na ufungulie bomba kwenye macho huku ukiinua ngozi ya kope ili maji yaingie ndani.

2. Safisha mikono kwa kutumia maji na sabuni ili kuhakikisha kemikali hazibaki mkononi.

3. Kama muathirika ni mvaaji wa lensi ya macho(contact lens) azitoe kama hazikutoka baada ya kuosha kwa maji.

TAHADHARI.

-Asipikiche macho
-Usiweke kitu chochote machoni zaidi ya maji. Mf dawa za macho, nk
-Mkimbize mgonjwa hospitali kwa matibabu zaidi.
 
We come from God. As the tree from the root and the stream from the spring; that's why we should always be in contact with Him, as the trunk from the root. Because the stream dries up when it is separated from the spring and the tree dies when is uprooted.

Pythagoras
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…