MWONA MBALI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 460
- 612
Kunyanduliwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajiandaa kwenda kunyanduliwa
Kiswahili cha kenya hunifurahisha sana
Aisee...Mbona kwangu huku ni kuuuuuubwaaaaa....?Picha zinaonekana ndogo aaagrr!!![emoji37] [emoji37] [emoji37]
Happy v'day to you too
Sisi tunajua kushabikia mambo ya kimbea tu,kwenye maendeleo hata hatujishughulishi acha tu wachukue.Kunyanduliwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ndiyo wamesambaa dunia nzima wanafundisha Kiswahili. Huko Marekani karibu kila University ni wenyewe. Sisi pamoja na Kiswahili chetu hiki kizuri tumelala tu. Acha wachukue Serengeti na Mlima Kilimanjaro tu kwa kweli....
New version ya jf shemAisee...Mbona kwangu huku ni kuuuuuubwaaaaa....?
Aisee. Inawezekana wamepunguza ukubwa wa picha ili kupunguza data kwenye server zao. Yawezekana hata wameweka format ya thumbnails tu basi...New version ya jf shem
Najuta ku update
Aagrr!!
Yawezekana....Aisee. Inawezekana wamepunguza ukubwa wa picha ili kupunguza data kwenye server zao. Yawezekana hata wameweka format ya thumbnails tu basi...