carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Dunia hii we acha tu...Kisa cha kwanza cha mwanamume aliyejibadilisha jinsia 'kumnyonyesha mtoto'
Mwanamume aliyejibadilisha jinis na kuwa mwanamke amefanikiwa kumyonyesha mtoto katika kisa cha kwanza cha iana yake kuwahi kushuhudiwa, watafiti wanasema.
Mungu tu atuokoe kwakweli[emoji120][emoji120]Dunia hii we acha tu...