Kana ushawishi kweli.Sijui yuko wapi...Ni binti wa aina yake kwa kweli....
Kwa mzee baba ho chi minh...Mkuranga
@Carba njoo !!! Kuna mgonjwa huku ana hali mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kana ushawishi kweli.
Nataka niumwe nikalazwe hospitalini kwake...
Carba: pole mgonjwa wangu
Andjul: ahsante sana
Carba: nini tatizo baba
Andjul: parachichi...
Carba: parachichi!? Limefanyaje?
Andjul: limekosa hudumu linanenepa tu
Carba: jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Andjul: nisaidie binti...linazidi...
Carba: [emoji126] [emoji126] aiem oni mai wei... utapona