Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikuwa sijaona. Oversight au makusudi?
Ndiyo alivyo mkono wenye saa!
Binadamu tuko tofauti sana, mtu kama Obama kipaji chake ni cha hali ya juu sana!
Kama unavyoona mistuni wanyama wa aina mbali mbali basi nasi pia binadamu tuko tofauti kiasi hicho!
Tofauti yetu iko katika spirit!
Roho ndiyo inayo fanya kazi katika maisha ya binadamu!
Obama hana tofauti na simba au chui!
Indira Gandhi, Mother Teresa hao ni paa na pundamilia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…