Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna hili lidubwasha limeingia wanafunga matumbo yao wengine kwa masaa chungu nzima kwa siku wenyewe wanaliita "Faja" ili kiuno kiwe kidogo kama cha nyigu na tumbo pia linapungua.

Tayari wanasayansi weshaanza kupiga makelele. Ni hatari kwa viungo vya ndani hasa ini na figo. Wanasema ni lazima tahadhari kubwa ichukuliwe vinginevyo mtu anaweza kujisababishia matatizo ya kudumu ya viungo vya ndani na hata kupoteza maisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…