Salam
Naam...mkuu kitamboNiaje mkuu
Mzima za kuadimika?mbona hujaleta mrejesho wa ile project yako ya miezi mitatuMzm dada?
Nilishaweza kabisa dada yangu, sema mambo mengi nakosa hata muda wa kukaa niandike... Siunajua mambo ya elimu haya..Mzima za kuadimika?mbona hujaleta mrejesho wa ile project yako ya miezi mitatu
Siku ukipata nafasi utuelezee na sie tufanye kama wewe si wajua tena kuandika virahisi kuliko kutendaNilishaweza kabisa dada yangu, sema mambo mengi nakosa hata muda wa kukaa niandike... Siunajua mambo ya elimu haya..