[emoji23] [emoji23] inawezekena nikawa kweli kitukuu chake..Shimba akiona unaniita dada atasema wewe ni sawa na kitukuu chake kama angechakalika mapema ujanani hahaha
Hamna hio,mkoromije ni kijana tu basi tu anaupenda uhenga[emoji23] [emoji23] inawezekena nikawa kweli kitukuu chake..
Mkuu SHIMBA YA BUYENZE kuja huku, utueleze wewe muhenga kweli au ni akina 21?Hamna hio,mkoromije ni kijana tu basi tu anaupenda uhenga
Mkuu SHIMBA YA BUYENZE kuja huku, utueleze wewe muhenga kweli au ni akina 21?
Aje na picha orijino
Hahahhaa basi siamin kama ni mhengaHapo lazima akimbie.. Au ataweka isiyo yake
Mwenyekiti nani? siku hizi..Hahahhaa basi siamin kama ni mhenga