Watakipenda mbelen,utoton nilikua sikifahamu kabisaa na sikua na muda huo ila shule kwenye kiswahili ushahidi wa kiisimu na kihistoria wacha tu utaitafuta hata salamu ili upatie swaliAfadhali hata wewe una cha kuibia...
Wa kwangu ni bure kabisa...
Hakuna bhana[emoji23][emoji23]Kuna liukweli though [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hakunaga bibi mpenda ubuyu kama wewe hahahaWe nawe umetokea wapi??[emoji23][emoji23]
Hebu waambie kama mimi ni kibibi maana wanakazana kuniita andaeitini
Naona siku hizi anakuwinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aje aimbe mashairi yake
Wewe tunajua kwa uhakika kabisa. Madilu alipofariki ulikuwa darasa la 4...Hata mie wananionea tu
Keshaacha siku hizi. Amengangarika...Aje aimbe mashairi yake
Yaani hakuna ubuyu wenye unanipita walah![emoji23][emoji23][emoji23]Hakunaga bibi mpenda ubuyu kama wewe hahaha
Jamani jamanii...
Muacheni binti yangu...
Ayani ledi...
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hakunaga bibi mpenda ubuyu kama wewe hahaha
Yuko wapi huyu mama siku hizi?