Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kumbe alikuwa anaongelea likes? Sikuelewa wakati ule...Ulikua unalalamika uzi kuwa tofaut mbona wewe unabagua sion likes zako
Hat trickGooooooooooliii Messsi
Sorry for that,alafu sina ubaguzi sababu hakuna ninaye fahamiana nae by the way upo vzr sana kwny uelewaUlikua unalalamika uzi kuwa tofaut mbona wewe unabagua sion likes zako
Na ule utani wa baby tuliokua tunawatania muda ule basi akadhan humu kuna babu hadi wajomba ,ma bebi etcKumbe alikuwa anaongelea likes? Sikuelewa wakati ule...
Humu hatufahamiani kabisaa ila kumwagiana likes ndiokumetuweka karibu. Welcome,toa likes upewe likes post chochote be free hatuna ubaguzi. AppreciateSorry for that,alafu sina ubaguzi sababu hakuna ninaye fahamiana nae by the way upo vzr sana kwny uelewa
Ulinifikiria vbayaNa ule utani wa baby tuliokua tunawatania muda ule basi akadhan humu kuna babu hadi wajomba ,ma bebi etc
Sio kwa wote wapo wanao fahamiana humu n hata kwa makapuku ndo usisemeHumu hatufahamiani kabisaa ila kumwagiana likes ndiokumetuweka karibu. Welcome,toa likes upewe likes post chochote be free hatuna ubaguzi. Appreciate
Kila anaekuja huwa anatulalamjkia hivyo ila makapuku na huku ni marafiki na wapo humu members wa makapuku. Humu likes zako tu zitakupatia marafikiUlinifikiria vbaya
Unaweza sema hivyo mtu kuitana kaka,mjomba,bebii au jiran unaweza amin wanafahamiana kumbe walaa hawafahamiani wala kuonanaSio kwa wote wapo wanao fahamiana humu n hata kwa makapuku ndo usiseme
Woyoooooooo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sasa hapo anamkomoa nani? Mashabiki au yeye mwenyewe?
Barca sifa hiyo4-1 dakika ya 43
Atazoea tu. Asogee karibu. Ni upendo kwa kwenda mbeleNa ule utani wa baby tuliokua tunawatania muda ule basi akadhan humu kuna babu hadi wajomba ,ma bebi etc
Sasa hapo anamkomoa nani? Mashabiki au yeye mwenyewe?
KweliAtazoea tu. Asogee karibu. Ni upendo kwa kwenda mbele
Mikao mingine hii
HahahahahaSisi Wabongo maneno kwanza kazi baadaye. Labda da Mange akitusisitiza tutabadilika [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hapa tunagonga likesSio kwa wote wapo wanao fahamiana humu n hata kwa makapuku ndo usiseme