mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
KaribuAli Hassan Mwinyi Rd
Hofu ni hatari sanaJambo la kwanza ni hofu. Watu wengi wamekuwa wakikwama kwenye maisha yao kwa sababu ya hofu kubwa. Hofu hii imekuwa ikiwazuia kuchukua hatua na wakati mwingine hofu hii imekuwa ikiwazuia hata kuthubutu kuchukua hatua ndogo ndogo.