Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Meza ndoano hiyo bageshi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Tena ungeuliwa kabisa. Shwainiii !!!Numbisaaaa
Umeshuhudia kwa macho Mama Kwini akikamuliwa na baada ya kuchukua hatua unakimbilia Facebook. Likely Mwanaume wa Dar. Angekuwa mwanaume wa bara saa hizi tungekuwa tunaimba mapambio...Numbisaaaaaa....
Mkono huo wa "bwana" siyo wangu. Kwa figisu nyie watu dah! Halafu tukitaka tuonane mnakwepa...Ayaaa umenikumbusha ule mkono kwenye samaki boonge la kofi hapo hahahaha
Wagonjwa wamewatoa? Mungu Awasaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 701378Agha khan Dodoma hospital inawaka moto sina uhakika sipo Dodoma lakini nafikiri ni kweli
Source jimbo la dodoma whatsapp group
Unakwendaga pale kutibu au kutibiwa?D
Duh my favourite hosp nikiwa dodoma
Mkono wa muuza huo. Likely Mkerewe. Jina lake Masatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkono wa kisukuma umejaa...jamaniiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ya Malkia hatimaye nimefanikiwa kuinyaka baada ya kuisaka kila kona. Salute. She is extremely gorgeous [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Mzee wa liver ukimdaka uniq usifiche picha kama unavyozificha za malkia wako pleaseeeeeeeee hahaha
Uniq umejitambulisha rasm mzee wa liver atakusaka kila kona
I do. I see you [emoji10][emoji8][emoji11][emoji9][emoji144]
Baby[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]I do. I see you [emoji10][emoji8][emoji11][emoji9]
Hapa panaeleweka basi. Just go with the flow....Hee nshakua shemeji duh
Jamani jamani. Mniache miye. Mchana nimefunguka kidogo nikaishia kuumiza watu hapa. Halafu nimetoka kutubu madhambi yote. Yaani hapa niko safi kabisa. Niacheni nifaudu usafi huu japo kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri aje sasa.. Atakimbilia kwenye misaksafoni,maparachichi manene marefu mazito[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahhhh... Shimbaaaaa
Dah !!!Hahahaha
Namtania tu walahi!
Mimi ni kwako tu my dear!
Wanasema eti kila mtu ana bei...Usiuze utu wako
Tulishafunga huo mjadala. Usifukue makaburi bwana....Naambiwa kuna malalamiko kwa quote yangu ya picha zinazodhaniwa huenda ni za X. Nitawajibu baada kupitia comment zenu za malalamiko
Na kila mtu na aseme "Aaaaaaaaaamen"Mbona kampapasa tuuu, ilitakiwa apige haswaaaaa
Mbona unamuonea huruma?Maskini jamani