Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkanganyiko !!!
Malaika mwema yule...Na aendelee kutulinda !!!Nilikwenda dadiii.... Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kinanikumbusha Malaika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babe "MAMA" sio mtu wa mchezo mchezo atiiiNa kila mtu na aseme "Aaaaaaaaaamen"
Una busara sana baby. Yaani umekamilika kila idara dah !!!
Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuifikia siku hii. Atubariki tuweze kuzifikia na nyingine nyingi. Na cha muhimu zaidi Akatuwezeshe kuuona upendo na utukufu wake kupitia matendo yetu kwa binadamu wenzetu hasa wale masikini kabisa wasio na kitu, wajane, wagonjwa mahospitalini na wengine wanaoteseka [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]26/4/2018 [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Amennn[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Malaika mwema yule...Na aendelee kutulinda !!!
Ni kweli. Tena usinikumbushe ntaishia kulia sasa hivi.....Babe "MAMA" sio mtu wa mchezo mchezo atiii
Ni kweli mkuu1. Mtu anayehamisha mlima, anaanza na jiwe moja.
Hakuna kinachoshindikana kwenye maisha ikiwa wewe utaamua sasa kwamba ni nini unakitaka. Yawe ni matatizo ukitaka yaondoke yataondoka au uwe ni mradi fulani, ukitaka kuufanya utaufanya na utakupa matokeo.
Watoto wa mjini na mitaa yenu. Huku Koromije kulikuwa na/kuna barabara moja tu mpaka leo. Uwanja wa ndege ya Gwajima ukikamilika pengine tutaanza kuwa na mitaa mf. Gwajima Airport street n.k...Nkrumah street
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]