Dokta Mohammed Khatoub aliyeko Uturuki, ambaye anatokea katika mji wa Ghouta ameelezea uthibitisho wa hospital wanakotibiwa majeruhi hao, kwamba wameathiriwa na gesi hiyo,
Hata hivyo Serikali ya Syria siku zote imekuwa ikikanusha kutumia silaha za kemikali.