Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
DaaaahEnzi hizo kijana mpole na carbaView attachment 702119
Lakini yote kwa yote haya mambo ya malavidav ni Magumu mnoIt depends on who you do love Mkuu.
Wivu njemba zinaona bora wazikwe naoHahahahaha lol! Kuna mtu mmoja aliuliza mtandaoni kwa njemba kama wanakufa na kupewa nafasi ya kuzikwa na chochote kile wakipendacho wengi walidai wake zao na maGF ili njemba zingine zisifaidi utamu wao. Nilishangaa sana.
Lakini yote kwa yote haya mambo ya malavidav ni Magumu mno
Maslei kwini bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu njemba zinaona bora wazikwe nao
Embe bivu...Mkuu BAK WAKUBWA MNAFAIDI SANA
Broooooo !!!JICHO LA NYEGE
Ni jeshi la mtu mmoja hili bro....Siriazi
Broooo...Kuna Jamaa ananiambia ukiwa na jicho LA nyege kila mwanamke unamuona mzuri
Ushauri mzuri sana !!!
Ila bhana Bak mi binafsi hata kukupiga kibao siwezi kwa mfano unichukulie utamu wanguChezeya wivu Mkuu acha wengine wenye ujasiri wa kuua waue pale utamu wao unapoonjwa na gudume jingine.
Kwema kabisa ya unaweza kuta kupiga show za kibabe zinamsumbuaEmbe bivu...
Waweza shangaa ukiliuma ladha ni ya kawaida tu...au isiyokidhi kabisa...
Kwema bro?
Najilipua kwa carbamazepineBroooo...
Nami nimeupendaUshauri mzuri sana !!!