Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Daaah love finds you in charm broMbinu zile zile, silaha zile zile, intelligence ile ile, motisha kwa wapiganaji ule ule, jenerali yule yule, falsafa zile zile...Hata Lao Tzu atashangaa kama kutakuwa na matokeo tofauti safari hii [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hakuna awali mbovu....Awali ni awali...
[emoji3][emoji3]Hakuna awali mbovu....
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23]umesemaaaaaHahahaha ndo ukute numbisa ni mama ntilie soko kuu mlonge wote utakuisha hahaah
5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza
AminView attachment 703967 Nawapenda wanalikes
Usiku mwema na Maulana Mola wetu azidi kutubariki maishani mwetu tusipatwe na mabaya!
Remain blessed my friends!
Ayaaa mie najiimbia tu hahaha[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23]umesemaaaaa
Kupeana likesUzi maalumu wa KUPEANA LAKINI CHA AJABU NISHAFUNGIWA MILANGO SANA SIJUI TUNAPEANA NINI NAWAZA TU [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.
Likes tam tam...Kupeana likes
7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua
@jakitoo njoo huku omwana[emoji23][emoji23]
Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo?
Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo.