Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zoezi hilo lililofanyika chini ya usimamizi wa shirika hilo limewakumba wakazi wa mtaa wa Eden katika Manispaa ya Sumbawanga ikiwa ni baada ya hatua za kisheria kukamilika.

Kwa upande wake mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga amesisitiza umuhimu kwa wakazi wa Manispaa hiyo kufuata taratibu za ujenzi ili kuepuka hasara ya namna hiyo, baadhi ya wakazi wa eneo ilipoendeshwa bomoabomoa wamekiri ukiukwaji wa sheria.
 
Tetenasi ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria wanaoitwa ( Clostridium tetani). Wadudu hawa wanapatikana katika mazingira yanayotuzunguka mfano; ardhi, misumari au vitu vyenye ncha, vinyesi vya baadhi ya wanyama nk.

Bacteria wa tetenasi wanaweza kuishi katika mazingira kwa miaka mingi. Pia wanapenda vidonda, ndio maana wanaingia mwilini kupitia vidonda au mikwaruzo. Dalili za Tetenasi zinatokea siku 4-14 baada ya kupata jeraha.
 
Nani yupo hatarini kupata tetenasi?

Kwa watu wazima (Adults)
Ikiwa umeumia na kupata jeraha au kidonda sehemu ya mwili wako uko katika hatari ya kupata ugonjwa huu hatari wa tetenasi.
Ikiwa umetobolewa na msumari una zaidi ya 32% kupata tetenasi
Ikiwa umeungua, au watu wanaojidunga sindano za madawa ya kulevya, au watu wanaojiwekea tattoo, watu wenye magonjwa ya meno, wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu Kisukari ni moja ya hali inayoweza kukusababishia tetenasi.
Pia upasuaji (surgery) isiyo salama, mfano matumizi ya vyombo visivyo salama(unsterilized)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…