Yaan mitandaon pasingekalika,wangehamasishana vizuri kwa maandamanoIngekuwa Bongo hii basi ungesikia "hayo ni maagizo kutoka juu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa Bongo hii basi ungesikia "hayo ni maagizo kutoka juu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kaombwa msamaha tu kazi kwishaMedical mistakes ni tatizo kubwa. Tofauti ni kwamba kule kwa wenzetu kosa kama hili mgonjwa huyu angelipwa mamilioni ya dola....
Saa 10 usiku. Jakitoo hulali/hujalala? Nani amekukatia? Ni KaYego au nani nimshukie? Jaribu kulala mpendwa wa moyo wangu...
Weuwee tukeshe tu mwenyewe usingizi umekata nimekuta moyo upo kasi mno utadhan kuna kitu cha kutisha aiseee Mungu Mwenyezi ni muweza yote.Nina Usingizi balaa. Numbisa nifukuze please !!!
Nina Usingizi balaa. Numbisa nifukuze please !!!
Broo naona unakacha kikao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kikao cha familia kinaendelea, atarudi kitandani tukishakimaliza! [emoji23][emoji23]
Kikao mnafanyia wapi? Mbona mi sina taarifa?Kuna kikao cha familia kinaendelea, atarudi kitandani tukishakimaliza! [emoji23][emoji23]