Aiseee kumbe. HahahahaKikao mnafanyia wapi? Mbona mi sina taarifa?
Akirudi anahema au nywele zimeparaganyika unaloooo..!!!
Aisee. Weka hiyo simu. Tafuta sehemu tulivu umwite Mungu katika sala. Kemea hiyo hali na kama huendi kwenye majukumu basi rudi ukalale. Mungu Akupe amani.Weuwee tukeshe tu mwenyewe usingizi umekata nimekuta moyo upo kasi mno utadhan kuna kitu cha kutisha aiseee Mungu Mwenyezi ni muweza yote.
Kikao mnafanyia wapi? Mbona mi sina taarifa?
Akirudi anahema au nywele zimeparaganyika unaloooo..!!!
Broo naona unakacha kikao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Goodnight.Aisee. Weka hiyo simu. Tafuta sehemu tulivu umwite Mungu katika sala. Kemea hiyo hali na kama huendi kwenye majukumu basi rudi ukalale. Mungu Akupe amani.
Mi niko njwii kwa kweli. Ngoja nilale. Tutasemeshana kesho wapendwa Mungu Akipenda [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jana wafukuzaji walikosekana kidogo nikeshe. Halafu leo nilikuwa nahangaika na lidedilaini hivi sijapumzika hata kidogo. Hoii mbaya....Mkuu, Mbona mapema sana? Hata 2100Hrs bado! [emoji23][emoji23]
Sawa mwenyekiti[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo mbona, ndio Mwenyekiti! [emoji23][emoji23]
Hahahaha ulale salama na kuamka salamaJana wafukuzaji walikosekana kidogo nikeshe. Halafu leo nilikuwa nahangaika na lidedilaini hivi sijapumzika hata kidogo. Hoii mbaya....
Mwangalie "Kitoo vizuri. Nikikuta fyoko fyoko kesho patachimbika...
Jana wafukuzaji walikosekana kidogo nikeshe. Halafu leo nilikuwa nahangaika na lidedilaini hivi sijapumzika hata kidogo. Hoii mbaya....
Mwangalie "Kitoo vizuri. Nikikuta fyoko fyoko kesho patachimbika...
Duh aiseeeNipo mbona, ndio Mwenyekiti! [emoji23][emoji23]
Goodnight.
Ushauri mzuri. Thank u you brooo in jakito voice to yegoo
Kwa style hiii cole na andjul ni kaka zangu kabisaaaaaKakake nipo, atakuwa kwenye mikono salama kabisa! [emoji1]
Hahahahaahaahah[emoji23][emoji23][emoji23]... Cha uchokozi bana!