Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahah wasukuma kwa kupenda wanawake weupe hamjambo
We ni mweupe? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️

(Jibu lako nalijua..."Mi ni cheusi kama mkaa)...
 
Mweupe hahahah

Umekosea jibu
Sis. Kuwa na ujasiri. Hebu tupia tunyoka hata tuwili hivi...
Hahahaha yaan wewe
 
Mweupe hahahah

Umekosea jibu
Unapenda kujishusha sana katika majibu yako. I like that....

Weupe kwa mwanamke una raha zake. Sema tu leo ni Siku ya Bwana ni lazima niendeleze upole niliouanza jana mkanisifia.

Enzi nakua binti wa Kisukuma mweupe mrefu mwenye msambwanda bila ng'ombe 40+ humpati ng'o !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…