Mmh mhola doho hahahaKuna lingine zaidi ya kuitafuta namba 1400 ya mzungu!!!
Ulinkafu mama[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
WabhejaUnapenda kujishusha sana katika majibu yako. I like that....
Weupe kwa mwanamke una raha zake. Sema tu leo ni Siku ya Bwana ni lazima niendeleze upole niliouanza jana mkanisifia.
Enzi nakua binti wa Kisukuma mweupe mrefu mwenye msambwanda bila ng'ombe 40+ humpati ng'o !!!
Ni picha ya mzingua hioNumbisa hii avatar yako ni uchokozi huo!!!