Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni photoshop hii...Mtu na babe wake bana! Mapenzi nigaragaze! [emoji1]
Sijui niposti nini ili stimu zote zikurudie. Sema neno moja tu tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayaa umenikata stimu zoooteeee. Goodnight
Mwone unavyochekelea sasa
Usiku mwemaaaa mamy kesho nitakutafutia vya chinichiniJomoooni asante mdogo wangu kwa utamu huu tatizo shemejiyo si mrefu hivyo sipendelei michuchumio sababu hiyo
Hayaa umenikata stimu zoooteeee. Goodnight
Mwone unavyochekelea sasa
Kumekuchaaa Juma 4Congrats, Numbisa! Wewe ndio umepata kicheko cha mwisho! [emoji23][emoji23]
Kumekuchaaa Juma 4
Tayar ni juma 4 mkuu au nakoseaBado ni saa saba usiku lakini! [emoji23]
Tayar ni juma 4 mkuu au nakosea