Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mie najitambua huyu amekata sweta chini haogopi baridi itaingia?Asante mama kubwa aka Jimama
TOA LIKES KAMATA LIKES!!!Mie najitambua huyu amekata sweta chini haogopi baridi itaingia?
Kweli kabisaAlisema anakwenda Kibiti. Isije ikawa alienda kweli. Hakuna anayemfahamu humu?
Ila we mvivu! ongeza tunyama like zetu zinapotea.Sara
Toa upeweNaombeni like jaman[emoji106][emoji106][emoji106]
Hahaa
maujanja kweny maphotos
Hahaaa jiwe limerushwa gizaniUshindwe na ulegee. Si ajabu Wanyakyusa hawa.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni kweli..Wakuu, tuzingatie likes na siyo kukimbiza uzi tu. Posts huku nyuma hazina likes kabisa. Sanasana moja au mbili; na hii haikubaliki! Our motto is TOA LIKES POKEA LIKES. Tusijisahauuuu !!!
Tena limepiga paaa! Kilichobaki ni kuugulia ngeu tu [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa jiwe limerushwa gizani