Ntu [emoji23][emoji23][emoji23]Hanna ntu aliye lala
aseeh umeona eeTrue
Sasa kwanini uumie jamani?Mi najua na inaniuma ila nitafanyeje sasa. Bora niitwe hata unclee
Komaa tu kiongozi uonyeshe umahiri wako wa kugonga kitufe cha likeNasinzia lakini nashindwa kwenda kulala
Hakuna mchoyo like utazikimbia wewe tu.Jamani naomba likes 250 tuu....nahakika humu hakuna mtu mchoyo
Bado hazitoshi, songa mbelePages 583
Total likes 184,299
Total reply 5830
Mkuu bumu la chuo au..!?Mtu akitaka kupiga bumu humu atawauwa wengii... Mlivokusanyika kwenye huu uzi maelfu na maelfu....!!
Sambaeni kwenye thread zingine for security reasons bhn...!!
Wazo zuri sana watu wenye mambo moto moto ya hapa na pale stori ambazo hazina haja ya kuanzisha thread ziwe zinatupiwa humuDah Yaani wazo tu lilikuja nilikuwa natafuta kitu kitakachotuunganisha members wote bila kujali umri,dini,kabila,itikadi wala tofauti yoyote. Nikaona like ndo kitu kitakachotufanya tuwe kitu kimoja na tunaenjoy wote. So mkuu tuendeeleni kupeana likes na stori za hapa na pale
Mkuu mwenyewe yupo,jiangaliekuna hiki kijamaa sijui joserevest yani kila post cha kwanza kureply
Tunakugongea hata ndotoniNaombeni dawa maana hapa nikilala naona likes nyingi zinapita
Mkuu bumu la chuo au..!?