Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiku mwema..☆☆






♧Baniani mbaya kiatu chake dawa♧
18646545_1692178184409513_3173090519383277568_n.jpeg
 
Dah Yaani wazo tu lilikuja nilikuwa natafuta kitu kitakachotuunganisha members wote bila kujali umri,dini,kabila,itikadi wala tofauti yoyote. Nikaona like ndo kitu kitakachotufanya tuwe kitu kimoja na tunaenjoy wote. So mkuu tuendeeleni kupeana likes na stori za hapa na pale
Wazo zuri sana watu wenye mambo moto moto ya hapa na pale stori ambazo hazina haja ya kuanzisha thread ziwe zinatupiwa humu
 
Back
Top Bottom