26 huyooo Dubai....Mbowe, Zitto wahoji
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipoulizwa na Mwananchi kama wameandaa maandamano alicheka na kusema, “Waulizeni hao wanaotoa hizo kauli ni ya nani, wanapambana na hewa?”
Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni alihoji akisema, “Watangaze na kusema hayo maandamano ni ya nani, sisi hatujatoa kauli au kuandaa maandamano, waseme ni maandamano ya nani.”
HahahahaMwandaa maandamano yupo kakunja zake 4 Culver City jijini Los Angeles. Kazi kweli kweli!!!
Ovyo kabisa!Mbowe, Zitto wahoji