Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Isis naye kala ban? Na BAK? Uzuri ni kuwa ban zao hazitokani na uzi wetu huu pendwa. Tuendelee kupendana na kutaniana huku tukicheka na tukikosana basi tusameheane. Wengine uzi huu umekuwa kama therapy na kilevi chetu. Mtu unakuja huku ukiwa umechoka na dunia lakini ukifika tu unacheka na fikra zinasafishika. Nilipoondokewa na mama yangu kipenzi December uzi huu ulikuwa kimbilio langu na kuna watu humu sitakaa niwasahau maishani mwangu japo hatujuani na wala hatujawahi kuonana....[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
15. Maji yatakurudishia usingizi wa kawaida na mororo, kila tuotapo ndoto mbaya au za kutisha (nightmares), mwili huwa unatuamusha kwenda kunywa maji. Jaribu hii, siku yeyote ukiota ndoto ya kutisha, amka na kunywa glasi moja ya maji kisha rudi kulala.
 
16. Maji huzuia uchovu, huwapa vijana nguvu. Fikiri: unapokuwa na uchovu na ukaamua kuoga, baada ya kuoga sehemu kubwa ya uchovu hupotea. Hapo umeoga tu, je ukiyanywa maji yenyewe?!!.
 

Hope ya buyenze kaniwekamo kwenye list ake topu teni bagesh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…