ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mbona pa rahisi tu?!Msomaji umeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kibiti
Siyo kizibao?!Kikoti
Nitaanza rasmi kazi baada ya kuapishwa,nawe utakua ocdMsomaji umeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kibiti
Biashara njema ukipata wateja ni tagNauza shamba heka kumi kila heka laki 5...shamba lipo kibiti