Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Asante vitu vizuri
Kwa sababu unaniumiza, kwa binadamu kama ww mtu akifeli anakubali kuwa uncle.Sasa kwanini uumie jamani?
Chukua zakwako na wewe mkuuMlo comment kwenye page ya kwanza nawaonea dongeee....!!
Mikakati iwe ni kumwaga visa na na visanga ili burudani iwe endelevuKama kawaida ila mkuu inabidi tuje na mikakati mizuri kuuendeleza huu uzi
Mpe like huyo amelewa na likeaseeh kijamaa tena [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji134]
Ushahidi upo au unadhani sijawahi kukupiga picha nikapita kimyakimya hukuniona,...hiyo ya kwenda club dingi nnavyomjua hawezi kumind sana..[emoji35] [emoji35] unaushahidi wakumpa mdingi kithibitisha hilooo, nakutoka usiku kwenda club nitasemaaa
naona tayari umesahau mambo yetu yaleeeeYoooooooo
Achukue like zakeChukua zakwako na wewe mkuu
Kiongozi angalia usije ukapitwa na nyuzi mpya mpya kwenye majukwaa mengineMbona wewe Galapagosi anakukamatiaga mi nimekausha na cha ajabu hujamtambulisha home..au nikuchomeshee kwa mshua??
Usiwaze mkuu kawaidaKiongozi angalia usije ukapitwa na nyuzi mpya mpya kwenye majukwaa mengine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Chukua vijiko
Likes hapa wote kisha kila mtu alaleNimejitahidi kupita kila kona kulipua LIKE naona watu wamekimbia likes.
Ambae amesahaulika kichwa kichafu kutia saini ya like ajitokeze.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] nimezipost nyingi tuuuuuuuuuSijazionaaaa[emoji41]