Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Faida za kulainisha nyama na juisi ya nanasi ni kuwa kiwango cha sukari kilichopo kwenye nanasi kinafanya mwili kupunguza kiwacho cha sukari kwenye damu. Hii inasaidia katika kuongeza nguvu na kusaidia mmeng’enyo mzuri wa chakula.