Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwa salamu uko juu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kutumia wamisha unaposalimia mtu zaidi ya mmoja. Wa- ni singular na unapofanya hivyo unaharibu ukubalifu wa namba na idadi...
Ati, tunaposalimia mtu zaidi ya mmoja tunasemaje?