Mimi leo baba yako ewe mwanangu sikia...
Pamoja na mama yako tunakukalisha chini..
Tupate kukuusia dunia hii ni ngumu......
Usiende mbio mbio kukimbilia mbio kumbe kule hukujua uendako kuna kilio.....
Utapatwa na huzuni watu wakikusikia...
Vipi umeruka maji umekwenda kukanyaga moto yoyoyo...
Sisi wazazi wako tumekwisha yaona Sophia..............